Kiukweli kazi ni kubwa sana kurejesha heshima ambayo imeshapote hasa kwa vijana n kadri siku zinavyozidi kwenda kizazi kinazidi potea!! Jambo jema huwa halipati shabiki wa kutosha ila tunapaswa kutumia ubishi ili angalau kurejesha waliopotea ama kuokoa kizazi kijacho!! Kubwa nakusihi usichoke kuweka post za namna hii ili kulikomboa taifa letu!!
Hii ni laana karne hii. Tujihadhari sana kukumbwa na mabalaa
ReplyDeleteKiukweli kazi ni kubwa sana kurejesha heshima ambayo imeshapote hasa kwa vijana n kadri siku zinavyozidi kwenda kizazi kinazidi potea!!
ReplyDeleteJambo jema huwa halipati shabiki wa kutosha ila tunapaswa kutumia ubishi ili angalau kurejesha waliopotea ama kuokoa kizazi kijacho!!
Kubwa nakusihi usichoke kuweka post za namna hii ili kulikomboa taifa letu!!