Friday 29 June 2012

Tigo kicks – off SabaSaba on High Note

Tigo kicks – off SabaSaba on High Note
27 June, 2012, Dar es salaam. Tigo is turning the heat this weekend with lineup of major artists performing live against the stunning backdrop of the beach.
The two – day celebration, which marks the start of the Saba Saba Trade Fail, will be held at coco Beach on Saturday June 30 and Sunday, July 1, 2012 from 11 a.m. to 6 p.m. Take centre stage on Saturday and test out your vocal, dance and acrobatic skills as you complete against other entrants in the Tigo underground Talent Show. Or sit back relax and enjoy the latest Hits from Mr. Nice and H.Baba.
‘’ this year we have chosen jam – pack the weekend with a lot of entertaining activities,’’ said Alice Maro, public relation officer of Tigo. ‘’ we don’t only want people to come and enjoy themselves this weekend, but we have also made our products and services readily available and easily accessible for them to also enjoy,’’ she said.
The height of the celebration will be on Sunday with performances from Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Professor J, Mwasiti, Barnabas, Fid Q, Joh Makini and a special performance by the actor of the ‘Origino Comedy Show.’
There will no need to head home early once sun goes down, since the party’s climax marks the beginning of the Euro 2012 Finals. Catch the game live on the Big Screen beginning from 8 p.m.
Admission is free, and Tigo encourages everyone to come on down to Coco Beach and celebrate Saba Saba in a big way!
About Tigo
Tigo, the first cellular networks in Tanzania, started operations in 1994 and is Tanzania’s most affordable and innovative mobile phone operator covering 26 regions in mainland Tanzania anad Zanzibar.
Tigo is part of Millicon International Cellullar S.A (MIC) which provides affordable, widely accessible and readily available cellular telephony, robust mobile financial services and the fastest and most reliable internet connection to more than 43 customers in emerging markets in Africa and Latin America.
For futher information visit: www.tigo.co.tz
Issued by: Alice Maro ● PR-Tigo ● Mobile +255 713 123754

Tigo kicks – off SabaSaba on High Note
TIGO is turning the heat this weekend with lineup of major artists performing live against the stunning backdrop of the beach.

Tigo kuonesha burudani jijini Dar

TIGO KUWASHA MOTO WA BURUDANI JIJINI DAR

Na Nasser Kigwangallah, Dar es Salaam.
TIGO itawasha moto wikiendi hii katika viwanja vya Coco Beach, jijini Dar es  Salaam, ikisindikizwa na wasanii bora kabisa nchini, watakaotoa burudani safi katika fukwe ya bahari ya Hindi.
Hayo yalisemwa na Afisa Uhusiano Bi Alice Maro wakati akizungumza na waandidhi wa habari kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Alisema maadhimisho hayo ya siku mbili, ambayo ni ya mwanzo wa maonesho ya  biashara yaitwayo ‘Sabasaba’ yatafanyika kuanzia kesho Jumamosi Juni 30 na kesho kutwa Jumapili Julai 1, yataanza saa tano kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili  jioni.
Aliwataka wasanii kutumia uwezo wao na vipaji vyao katika kuimba na kucheza sarakasi katika mashindano ya Tigo ya kusaka vipaji vya chipukizi yaliyoandaliwa kwa wote watakaohudhuria.
Au unaweza kukaa na kuburudika pamoja na wanamuziki Mr Nice na H. Baba wakati wakitumubuiza jukwaaani.
“Mwaka huu tumeamua kuwaletea burudani nyingi na za kutosha ili kuweza kuwafariji wateja wetu popote pale walipo, hivyo kufika kwao itakuwa faraja kubwa kwetu sisi,” alisema Alice Maro, Afisa Uhusiano wa Tigo.
Aliongeza kusema kuwa wanachotaka ni kwa wateja wao siyo kupata burudani tu, bali pia waje wapate na kufurahia huduma zao zilizo bora kabisa na nafuu zilizoandaliwa kwa ajili yao.
Alisema kilele cha madhimisho hayo kitakuwa siku ya Jumapili kwa burudani kutoka kwa Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Professor Jay, Mwasiti, Barnabas, Fid Q, Joe Makini na burudani maalumukutoka kundi la wachekeshaji la “Ze Comedy.”
Hakutakuwa na sababu ya kuondoka uwanjani jua likizama, kwani fainali za Euro mwaka 2012 zitakuwa zikianza wakati huo. Fainali hizo zitaoneshwa laivu katika skrini kubwa kuanzia saa mbili usiku.
Kiingilio ni bure kabisa na Tigo inawahamasisha wote kufika katika ufukwe wa Coco Beach ili kusherehekea na kuukaribisha msimu huu wa Saba Saba.
KUHUSU TIGO
Tigo ni mtandao wa kwanza wa simu za mkononi nchini Tanzania, ulioanza biashara mwaka 1994 na ni mtandao wenye ubunifu wa hali ya juu na bei nafuu kuliko mitandao mingine yote nchini unaotoa huduma katika mikoa 26, Tanzania bara na Visiwani.
Tigo ni sehemu ya Millicom International Cellular S.A (MIC) na inatoa huduma zake za intaneti kwa gharama nafuu kabisa na ni mtandao wenye nguvu na kasi kubwa.
Mtandao wa intaneti unapatikana maeneo mengi kwa urahisi zaidi kwa wateja wake wapaptao milioni 43 katika masoko 13 yanayoibukia barani Afrika na Amerika ya Kusini.