Tuesday, 5 July 2011

Nyumba ya Mzee Nelson Mandela iliyoko Soweto, jijini Johannesburg





Nyumba ya mkongwe wa siasa za Afrika ya Kusini, Mzee Nelson Madiba Mandela iliyoko katika kitongoji cha Soweto jijini Johannesburg ambako alikuwa akiishi kabla ya kukamatwa na utawala wa makaburu kwa tuhuma za uchochezi na kutiwa gerezani huko Rhodes Island. Nyumba hiyo hivi sasa haikaliwi na mtu yeyote, imefanywa kuwa ni makumbusho; kuenzi enzi za mkongwe huyo. Picha: Na Nasser Kigwangallah, aliyekuwa Johannesburg hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment