wenyeimani.blogspot.com
Thursday, 14 July 2011
Eluka wa TGNP
Bi Eluka Kibona, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la Jinsia mwaka 2011 litakalofanyika mwezi Septemba mwaka huu jijini Dar es salaam. Mazungumzo hayo yalifanyika makao makuu ya TGNP- Mabibo jijini Dar es salaam. Picha: Na Nasser Kigwangallah
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment