Wednesday, 27 July 2011

PHOTOS: MR NASSER KIGWANGALLAH



Mr Nasser Kigwangallah, a senior journalist and reporter posed in this photo

Mr Athuman Rashid Mfutakamba, honourable MP for Igalula constituency in Tabora region and also deputy minister for Transport

Sunday, 24 July 2011

GARI NYANG'ANYANG'A

Gari la Danny Mwakiteleko lililopata ajali na kusababisha kifo chake

Taarifa za kifo: Danny Mwakiteleko

 
Mr Danny Mwakiteleko, marehemu hivi sasa
 
Danny Mwakiteleko amefariki dunia Jumamosi Julai 23, 2011 baada ya ajali ya gari iliyotokea jijini Dar es Salaam, siku ya Jumatano usiku Julai 20, 2011, eneo la Tabata (ToT) na kukimbizwa katika Hospitali ya Amana, Ilala na baadaye Muhimbili.
 
Mwakiteleko alilazwa katika kitengo cha watu mahututi (MOI), Muhimbili National Hospital.
Katika ajali hiyo, gari alilokuwa akiendesha Mwakiteleko liligongwa na lori lenye trela, ambalo lilitoweka bila kujulikana saa nne usiku. 


Mwakiteleko alikuwa akitokea kazini New Habari Corporation, Sinza ambako alifanya kazi hadi saa tatu usiku.

Waandishi wa habari kadhaa wamekielezea kifo hicho kubwa ni pigo kubwa katika tasnia ya habari, hasa kutokana na uwezo wake mkubwa aliokuwa nao marehemu enzi za uhai wake.

“Mwakiteleko alikuwa kamusi ya kitaaluma na kisima cha fikra,mfumbuzi na mbunifu wa kazi mbalimbali za kihabari na aliweza kufanya kazi zake na kuibua vipaji vya waandishi wengine,hakika wengi hawatakuja kumsahau,” anasema mmoja wa wana habari hao.
 
Rambi rambi za dhati ziwafikie ndugu na familia yote ya Mwakiteleko, bila kuwaacha marafiki zake na wafanyakazi wa New Habari Corporation, alikokuwa akifanya kazi kama Mhariri wa gazeti la Rai na pia Naibu Mhariri Mtendaji.

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea, amin...!

DEATH ANNOUNCEMENT: Professor Stephen Samuel Mushi

Professor Samwel Stephen Mushi

'I regret to inform you that our colleague and beloved mentor, Professor
Stephen Samuel Mushi, has passed away at Muhimbili National Hospital. Date: Sat, 23 Jul 2011 16:25:54.'


We will keep you informed on the burial arrangements.

May the Almight God rest his soul in eternal peace.

Benson Bana
Head, Department of Political Science and Public Administration

Thursday, 21 July 2011

Ureno yaunga mkono juhudi za taifa la Palestina kujitawala

Spanish Foreign Minister M/S Trinidad Jimenez


Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Ureno Bi Trinidad  Jimenez amemwambia rais Mahmoud Abbas anayeitembelea nchi hiyo kuwa Madrid inaunga mkono jitihada zote za Palestina kuunda taifa lake huru.
"Waziri alionesha kufurahishwa mno na hatua zilizofikiwa na nchi mbili hizi katika kuimarisha uhusiano wa kidugu katika kipindi cha miaka mingi iliyopita na pia kuunga mkono juhudi zote zinazolenga kuundwa kwa taifa huru la Palestina," taarifa ya Wizara ya Mambo ya Kigeni imesema.
Bi. Jimenez pia alimweleza Bwana Abbas kwamba juhudi za Palestina kuungwa mkono kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa ni haki kabisa na nchi yake itaiunga mkono Palestina katika suala hili.
Marekani imekuwa kimya katika kuunga mkono suala hili na imekuwa ikizitaka Israeli na Palestina kutochukua hatua itakayopelekea kuvurugika kwa mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mgogoro huu.

Leopard mauls six Indian villagers Indian locals were left horrified by an attack in which a stray Leopard pounced on six villagers in Prakash Nagar, West Bengal. After a lengthy pursuit through the village the leopard was killed by two shots at close-range after attempts to tranquillise the startled animal failed. Sources suggest one forest guard was critically injured while the others were hurt less seriously.

Tuesday, 19 July 2011

KIBANDA CHA KUJISETIRI NA JUA NA MVUA KIMEANGUKA



Shelter for passengers at 'Super Star' bus stop adjacent to Muhas along United Nations Road has fallen down. City fathers are reluctant to re-erect it, causing a havoc to passengers.Photo: By Nasser Kigwangallah

'Norway yakubali kupandisha hadhi ya ubalozi wa Palestina huko Oslo'


Norwegian Foreign Minister Jonas Gahr Støre

Waziri wa mambo ya kigeni wa Norway Bwana Jonas Gahr Stoere na mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Bwana Mahmoud Abbas jana walitiliana saini makubaliano ya kuufanya ubalozi uliopo Oslo kuwa ofisi kamili ya kibalozi.
Bw. Stoere na Bw. Abbas walisaini hati za makubaliano hayo huko Oslo baada ya kumaliza kikao chao kuhusu hali ya mgogoro wa Mashariki ya Kati  na suala la Palestina kutaka kuungwa mkono kwenye Umioja wa Mataifa baadaye Septemba mwaka huu.
Stoere, ndiye alitangaza uamuzi huo wan chi yake alisema: “Uamuzi wa kuupandisha hadhi ubalozi wa Palestina katika nchi yake ni jambo la kufurahisha sana.”
Ofisi hiyo ya PLO mjini Oslo ilianzishwa mwaka 1994 kuwawakilisha Wapalestina katika nchi hiyo.

Monday, 18 July 2011

MATATIZO YA U8MEME YATAKWISHA LINI TANZANIA? NI AIBU YA TAIFA

Mgao wa umeme unaoendelea Tanzania kwa sasa, ni ishara tosha kuwa serikali haijajipanga vizuri kulitatua suala hili kuanzia kiini chake hasa ni nini.
Wakati nchi hii ina kila sababu ya kujivuna kutokana na utajiri wake wa maliasili.
Je, tuseme ni maamuzi mabovu ya kiutendaji au kukosa kuwajibika ipasavyo kwa TANESCO na wizara ya Nishati na Madini inayoongozwa na Bwana William Ngeleja, waziri wa wizara hiyo? Bunge limeikataa bajeti ya wizara hiyo, serikali imetakiwa kuirekebisha na kuja na mikakati, baada ya wiki tatu kuanzia sasa. Hii haitoshi kumaliza mgao ambao umeathiri sekta zote za maisha ya wananchi na uchumi umeteketea kabisa. Kwa maoni yangu; serikali inatakiwa kujiuzulu kwa kushindwa kwake kuwajibika ipasavyo.

Bunge prevails on Energy budget Minister for Energy and Minerals

Mr William Ngeleja, the Energy and Minerals minister
THE annual budget estimates for the Ministry of Energy and Minerals has been withdrawn from the National Assembly for reworking because reports and proposals therein have failed to satisfy Members of Parliament. The estimates will be tabled again after three weeks.

Prime Minister Mizengo Pinda intervened on Monday evening after a heated, emotion-charged debate earlier in the day, to ask Parliamentarians for another chance to work on the estimates. The MPs agreed unanimously.

Conflicts in Africa: is it a panacea for development?

Omar al-Bashir, president of North Sudan, Muammar Qaddhafi, Libyan leader and Salva Kiir, the newly inaugurated president of South Sudan


The war in Libya and the break-up of Sudan has caused the most brutal social, political and economic implications of both developments for African Unity and especially their potential impact on the future of Afro-Arab relations in Africa. It is clear, without any reasonable doubts that the African Union has not handled these happenings with the prudent leadership and foresight that they deserve. This is bound to bear untold and undesirable consequences and may cause irreparable damage to African Unity.

Photos of Mr Nasser Kigwangallah's family


Mrs Imani d/o Issa and her daughters in Dar es salaam