Tuesday, 27 September 2011

NATIONAL DIALOGUE ON NATIONAL PRIORITIES

The ministe of state in the Prime Minister's office for Regional Administration and Local government Mr. George Mkuchika addressing participants of a 'one day seminar on the Quality Education and the Way Forward' for Tanzania development organised  by Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) at the Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam last Friday.

Monday, 26 September 2011

Mahafali ya wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Barbro Johannson iliyoko Luguruni- Dar es Salaam 25 Septemba, 2011



































THE ELEVENTH CEREMONY OF BARBRO JOHANNSON GIRLS' MODEL SCHOOL



First Lady Mama Salma Kikwete addressing participants at Barbro Johannson Girl's Model School in Dar es Salaam yesterday

THE ELEVENTH CEREMONY OF BARBRO JOHANNSON GIRLS' MODEL SCHOOL

Wangari Mathaai dies

Wangari Maathai was an inspiration for many women across Africa
Kenya's Nobel laureate Wangari Maathai has died in Nairobi while undergoing cancer treatment. She was 71.

She won the Nobel Peace Prize in 2004 for promoting conservation, women's rights and transparent government - the first African woman to get the award.

She was elected as an MP in 2002 and served as a minister in the Kenyan government for a time.

Ms Maathai founded the Green Belt Movement, which has planted 20-30 million trees in Africa.

The organisation also campaigned on education, nutrition and other issues important to women.

Ms Maathai had been arrested several times for campaigning against deforestation in Africa.


__._,_.___
Recent Activity:
MARKETPLACE
Stay on top of your group activity without leaving the page you're on - Get the Yahoo! Toolbar now.
<img width="1" height="1" alt="" src="http://us.bc.yahoo.com/b?P=b3ac0bd0-e808-11e0-a90f-27c1ed589f81&T=17p1u2s6q%2fX%3d1317018489%2fE%3d1705444583%2fR%3dgroups%2fK%3d5%2fV%3d2.1%2fW%3dH%2fY%3dYAHOO%2fF%3d2360037256%2fH%3dc2VydmVJZD0iYjNhYzBiZDAtZTgwOC0xMWUwLWE5MGYtMjdjMWVkNTg5ZjgxIiBzaXRlSWQ9IjQ0NTI1NTEiIHRTdG1wPSIxMzE3MDE4NDg5Mjg5NjA2IiA-%2fQ%3d-1%2fS%3d1%2fJ%3d9E238962&U=13ct1j8k1%2fN%3d89FKPNBDRqE-%2fC%3d493064.14543979.14562481.13298430%2fD%3dMKP1%2fB%3d6060255%2fV%3d1">

Stay on top of your group activity without leaving the page you're on - Get the Yahoo! Toolbar now.
<img width="1" height="1" alt="" src="http://us.bc.yahoo.com/b?P=b3bfb784-e808-11e0-bb03-b7705b0e3470&T=1c9pk9lce%2fX%3d1317018489%2fE%3d1705444583%2fR%3dgroups%2fK%3d5%2fV%3d2.1%2fW%3dH%2fY%3dYAHOO%2fF%3d3663842131%2fH%3dY29udGVudD0iRW50ZXJ0YWlubWVudDtNb3ZpZXM7TmV3cztGaW5hbmNlO01haWw7RnJvbnRfUGFnZTtNeTtTZWFyY2g7Q29tcGFuaW9uO0dyb3VwczsiIGRpc2FibGVzaHVmZmxpbmc9IjEiIHNlcnZlSWQ9ImIzYmZiNzg0LWU4MDgtMTFlMC1iYjAzLWI3NzA1YjBlMzQ3MCIgc2l0ZUlkPSI0NDUyNTUxIiB0U3RtcD0iMTMxNzAxODQ4OTQxODczMCIg%2fQ%3d-1%2fS%3d1%2fJ%3d9E238962&U=13c3rqhn2%2fN%3d350sUUoGYqI-%2fC%3d493064.14543979.14562481.13298430%2fD%3dMKP1%2fB%3d6060255%2fV%3d1">
.

__,_._,___

Tuesday, 20 September 2011

TGNP MISTREATS JOURNALISTS AT GENDER FESTIVAL 2011 IN DAR


Miss Lilian Liundi, the TGNP Communications Officer

AS per your invitation, journalists turned to the Gender Festival-2011 at TGNP Mabibo  in Dar es Salaam from 13th September, 2011 to September 16th, ,  but were disappointed by the way you treated them.
Once journalists are invited to attend any of such programmes, it is essential, as a matter of hospitality, to be paid some allowance for taking their time on the matter.
But alas, on Friday 16th September, 2011 during the closing ceremony last week, things turned ugly as journalists left TGNP offices disappointed, when Lilian Liundi, the Communications Officer broke out news that no allowance was available to them, as per agreement prior to the festival.
Lilian, with no respect at all to the journalists said that no allowance was available to journalists from Dar es Salaam, unless they produced cuttings of their reporting of the festival events, while other participants, including upcountry journalists and gays were being paid on their presence.
She, with impunity said: “You are not entitled to any allowance unless you bring your cuttings, showing how you have reported the event.”
This is a disgrace to the journalism profession, showing how journalists are being mistreated by TGNP and her partners.
Please ensure that that journalists are paid their due whenever they attend any of such functions and if they cannot be paid, please they should not be invited at all.
Due to act of disregard to journalists, they have decided that no journalist will ever attend any of the functions conducted by TGNP in future and editors should take note of that.
Journalists are not there to be used to foster TGNP campaigns and then ignored in that manner.
According to reports, most journalists left TGNP offices without having any food as nothing was served to them, who were there since morning.
Time has passed when you used to see journalists as tools to send your message through, just to be ignored like that.
Journalists should be respected due to their profession so that they could perform their duties diligently.
I think this message will be heeded in order to have a good working relationship with TGNP in future.

Monday, 19 September 2011

WRITE THE NEW CONSTITUTION IN FULL: Liundi urges


MR. George Liundi has underscored the need for the current constitution to be written afresh because it does not correspond with the current social, economic and political situation of the country.
Mr Liundi, who was among key participants in the writing of the current constitution in 1977, said he was not satisfied with it as it contained a lot of irregularities that did not provide equal rights to all citizens of the country.
“Although I participated fully in the drafting of this constitution, I currently do not support it and I think we now need a constitution that reflects the real situation at times and which considers the interest of each person,’’ he said.
The retired judge giving his key note address at  the Gender Festival-2011, which ended at the Tanzania Gender Networking Programme (TGNP) grounds, Mabibo yesterday.
Judge Liundi hailed TGNP for participating fully in the civic education going on at the festival, saying many Tanzanians had no idea on various issues including their own basic rights, which needed more education to sensitize them.
Presenting on the 'need for constitutions' that reflect the interest of citizens in the African continent, the Constitution Forum (Jukwaa la Katiba) chairperson Deusi Kibamba, said the current constitution does not give Tanzanians the mandate to own land.
“The land issue is in the discretion of the president as opposed to article 8 of the constitution, which insists that all the powers belong to all the citizens,’’ Kibamba said.
In their testimonies, different participants at the festival said the current Constitution needed complete overhauling because it worsened their lives,which mostly depended on agriculture. 


TGNP WALETA WASENGE KWENYE TAMASHA LA JINSIA 2011

KITENDO cha Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kuleta wasenge 'wanaofirwa' kwenye Tamasha la Jinsia-2011 huko Mabibo jijini Dar es Salaam kuanzia 13th Septemba hadi 16th Septemba 2011 ni cha kulaaniwa kwani kinaonesha kuwa TGNP na washirika wake wana lengo la kuifanya nchi hii iwe kama Ulaya ambako wasenge hujiuza ovyo na wakati mwingine kuoana kabisa?
Serikali yetu iwe makini na mbinu potofu za watu hawa, kwani lengo lao ni baya.

Thursday, 15 September 2011

Njaa ipigwe vita Afrika

UKOSEFU wa sera nzuri za uchumi hasa katika masuala ya kilimo na chakula imeelezwa ndio chanzo cha matatizo mengi ikiwemo kusababisha njaa na ukame unaopelekea wanawake na watoto wengi Afrika kuathirika.

Akifungua  tamasha la wiki ya jinsia
lenye kauli mbiu Jinsia,demokrasia na  maendeleo"Ardhi nguvu kazi na maisha endelevu",Mhadhiri kutoka Chuo kikuu cha Ghana Profesa Dzotdzi Tsikata alisema matatizo mengi yanayotokana na ukosefu wa chakula ,ukame,madini,nishati maji na mazingira husababishwa na sera mbovu zilizopo katika sekta ya chakula na kilimo jambo linalosababisha wanawake na watoto  walio pembezoni kuwa katika mazingira magumu.


"Tatizo hili linaweza kuwa na kihistoria kutokana na mifumo  iliyokuwa wakati wa ukoloni na hata  baada ya uhuru na mifumo mibivu ya  kiuchumi ulio katika nchi nyingi za Afrika jambo linalosababisha rasilimali nyingi katika sekta za utalii,madini na ardhi kuchukuliwa na wawekezaji wa kimataifa"alisema Profesa Tsikata na kufafanua kuwa,


Kutokana na rasilimali hizo kuchukuliwa na walowezi na wawekezaji ta kimataifa  wasiojali wananchi wa kawaida, kundi kubwa la wananchi ambao ni wengi wao ni wanawake hubaki katika mazingira magumu kutokana na kukosa  ardhi watakazozitumia kufanya  uzalishaji wa chakula na kufanya shughuli zingine za kuchumi zitakazowawezesha kujikwamua kiuchumi na kuepukana na majanga hayo.


Tsikata alisema ardhi ni rasilimali muhimu katika ukuaji wa uchumi wa nchi au binadamu yoyote lakini kutokana na mifumo ya unyonyaji,ukandamizaji, na uchumi kwa wawekezaji wakubwa kumesababisha utabaka.

"Hivyi basi ili kuondokana na matatizo hayo ni vizuri nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kuwa na sheria na sera nzuri zinazowaruhusu wanawake kumiliki ardhi kama ilivyo Kenya".



alifafanua kuwa sera zilizotungwa miaka ya themanini kwame haziwezi kuleta mabadiliko katika ulimwengu uliopo sasa kutokana na mifumo ya kiuchumi na kisiasa ilivyobadilika.


"Kamwe sera  na sheria zilizotungwa miaka ya themanini haiwezi kuleta mabadiliko ya mapinduzi ya kilimo na viwanda yaliyodhamiriwa sasa badala yake itazidi kudumaza harakati za kuleta mabadiliko"alisema Tsikata.

Alizitaja baadhi ya nchi za  zilizoingia katika matatizo na migogoro ya ardhi kutokna na kutokuwepo kwa demokrasia na
sera nzuri ni pamoja na Afrika kusini,Guinea Bisau,Swaziland,Ghana na Malawi.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Jinsia Tanzania ,Mary Rusimbi alisema kuwa tamasha hili limekuja wakati muafaka nchini tukaribia kusheherekea miaka hamsini ya uhuru japokuwa tunakumbwa na changamoto kadhaa katika kujileta mabadiliko.

“Moja ya mambo tutakayopenda yafanyiwe kazi katika miak 50 ya uhuru ni pamoja na mabadiliko ya katiba yatakayoleta mabadiliko ya kimapinduzi katika masuala ya jinsia.”alisema Rusimbi.

Alifafanua kuwa  "hili na tamasha linahudhuriwa na watu zaidi 2000 litatoa fusra kwa  wanaharakati kujadili na kubadilishana mawazo, kufanya tathmini ya mafanikio  na changamoto zilizopo kwa ajili ya kutafuta mbinu  kukabili matatizo hayo ili kuleta mabadiliko kwa jamii kwa mtazamo wa wanawake kimapinduzi'.



KATIBA MPYA NI LAZIMA , TENA SASA

JAJI Mstaafu, George Liundi amesema wakati umefika kwa watanzania kuandika Katiba mpya kukidhi changamoto za ardhi, nguvu kazi na maisha endelevu zinawazowakabili wananchi.
Amesema katiba ya sasa ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeandikwa mwaka 1977 imepitwa na wakati na kwamba kinachotakiwa ni wananchi nchi nzima kuunganisha nguvu zao katika harakati za kuhakikisha taifa linapata katiba itakayowezesha wananchi kuendesha maisha yao.
“Hata mimi ambaye ndiye niliyeandika katiba hii naona imepitwa na wakati tunahitaji kuandika katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya wananchi kwa miaka 50 ijayo,” alisema Jaji Liundi.
Jaji Liundi alisema hayo jana (Leo), katika warsha ya  “Mapambano kuhusu upatikanaji wa katiba zenye maslahi ya wananchi Afrika” kwenye Tamasha la Kumi la Jinsia linaloendelea kufanyika katika viwanja vya Mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP), Mabibo, jijini Dar es salaam.
Jaji Liundi alitoa ushauri huo baada ya kusikiliza visa mkasa vilivyotolewa na wananchi waliozungumza katika warsha hiyo kutoka Manyara, Kilimanyaro, Arusha, Morogoro, Mbeya, Mara, Dar es salaam, Ruvuma, Pwani na Pemba.
Watoa visa mkasa hao hao walieleza matatizo yanayowakabili wananchi kutokana na uwekezaji kwenye ardhi.
Mmoja wa watoa visa mkasa hao, kutoka kijiji cha Mkwangwelo, Morogoro alieleza kwamba mwekezaji mzungu wa KPL, katika kuendesha shughuli zake kwenye ardhi anatumia helkopta kunyunyizia sumu ya  kuua majani kwenye ardhi aliyopewa, ambayo huathiri mashamba ya watu wengine na kuangamiza mazao ya chakula kama mpunga.
“Wananchi wanakabiliwa na janga la njaa kutokana na mpunga wao kuangamizwa na hiyo sumu hiyo,” alisema Clavery Mwakinyonge kwenye warsha hiyo.
Mshiriki mwingine, kutoka Manyara Hanang, Martha Laurent Sumaye alisema mwekezaji aliyepewa kulima kwenye ziwa Basutu amekuwa akiwanyanyasa wananchi wa eneo hilo.
Alisema mwekezaji huyo anapolima vitunguu amekuwa akiziba maeneo yote, zikiwemo nja za wananchi kwenda kufuata mahitaji muhimu kama maji, kuni sambamba na njia ambazo mifugo ilikuwa ikipita.
Alisema kutokana na hali hiyo kumezuka mapambano kati ya wananchi na mwekezaji huyo na kwa miezi minne sasa wanawake wamekuwa wakiishi porini kwani wanapodai haki yao ya kupata njia wamekuwa wakinyanyaswa na kufanyika vitendo vya ukatili.
Mzungumzaji mwingine kutoka Nyamongo, Bani Moto alisema mgodi wa Mwekezaji wa mgodi wa Goldmine unasababisha  sumu kuingia kwenye mto  na wananchi wengi na mifugo wanaotumia maji hayo wa imeathirika.
Kabla ya kutoa visa mkasa hivyo, Kiongozi wa Mtandao wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba alikuwa amewaeleza washiriki wa warsha mambo mazuri ya;liyopo kwenye katiba ya sasa ambayo yanawalinda wananchi ambayo yanahitaji kuendelea kwenye katiba mpya.
Alisema kwa mujibu wa katiba ya sasa, ibara ya 8,1(a), wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba.
Hata hivyo alisema katiba hiyo inawaondolewa wananchi madaraka kwa sababu inampa mkuu wa nchi mamlaka ya mwisho kuhusu umiliki wa ardhi.
Wanawarsha hao wamependekeza kuwa katika katiba mpya, mamlaka kuhusu ardhi yawe mikononi mwa wananchi wenyewe ili kuepusha viongozi wa juu kuwapa wawekezaji ardhi ya wananchi huku wananchi wakinyanyaswa na wawekezaji na kukosa ardhi yenye rutuba kuendesha maisha yao.
Mwenyekiti wa kijiji cha Arash, Loliondo, Ngorongoro, Kiaro Orminis alisema kuwa kutoka mgongano kwamba viongozi wa juu ndio wenye mamlaka kuhusu ardhi, viongozi wa juu wamekuwa wakiwalazimisha viongozi wa chini kufanya vitu ambavyo vinaenda kinyume na maslahi ya wananchi