Thursday, 23 June 2011

Waziri wa utamaduni wa Iran azuru Tanzania


Naibu waziri wa Utamaduni, Michezo, Maigizo na Sinema wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (I.R.I.) Bwana Javad Shaghdavi akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Iran kilichoko Barabara ya Ali Hasan Mwinyi, jijini Dar es Salaam, jana. Picha: Na Nasser Kigwangallah

1 comment:

  1. Karibu mgeni wetu Tanzania, nchi ya wabongo na matatizo yao kemkem

    ReplyDelete