Wednesday, 22 June 2011

Bi Kenny Ngomuo, wa kitengo cha habari na mawasiliano cha TGNP akisisitiza jambo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyofanyika kwenye makao makuu ya Mtandao wa jinsia Tanzania Mabibo, Dar es Salaam hivi karibuni. Picha: Na Nasser Kigwangallah

No comments:

Post a Comment