Wednesday 22 June 2011

Miss Eluka Kibona, mratibu na sera kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania, akitangaza kwa waandishi wa habari Tamasha la Jinsia na Mendeleo-2011 litakalofanyika jijini Dar es Salaam mwezi Septemba mwaka huu. Picha: Na Nasser Kigwangallah

1 comment: