wenyeimani.blogspot.com
Monday, 14 October 2013
Mtangazaji wa ITV na Redio One ya jijini Dar es Salaam, Bi Ufoo Saro (pichani) amepigwa risasi jana alfajri na mtu anaye daiwa kuwa ni bwana yake, kamuua mama yake Ufoo na yeye kujimalizia mbali. Hivi sasa Ufoo kalazwa ICU MNH
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment