Monday, 14 October 2013

Nyerere Day 2013


Mtangazaji wa  ITV na Redio One ya jijini Dar es Salaam, Bi Ufoo Saro (pichani) amepigwa risasi jana alfajri na mtu anaye daiwa kuwa ni bwana yake, kamuua mama yake Ufoo na yeye kujimalizia mbali. Hivi sasa Ufoo kalazwa ICU MNH