Showing posts with label Eluka Kibona yupo kazini. Show all posts
Showing posts with label Eluka Kibona yupo kazini. Show all posts

Wednesday, 22 June 2011

Miss Eluka Kibona, mratibu na sera kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania, akitangaza kwa waandishi wa habari Tamasha la Jinsia na Mendeleo-2011 litakalofanyika jijini Dar es Salaam mwezi Septemba mwaka huu. Picha: Na Nasser Kigwangallah